Msanii mkongwe wa Hip Hop kutoka Arusha pia ni mwanzilishi wa Kundi la Waturutumbi lililopo mtaa wa fire Arusha. Stopa alianza mziki tangu mwaka 1993 akiwa na kundi lililoitwa Underground Niggaz ambalo liliunda na yeye mwenyewe Stopa, Nigga Lukago pamoja na marehemu Fredy Jebby (R.I.P)
No comments:
Post a Comment