Tuesday, February 1, 2011
Album ya pili ya Stopa (2nd album)
Mnamo mwaka 2009 Stopa chini ya kundi lake la Waturutumbi kama kiongozi ametoa album ya pili kwa jina la STYLE TATU, Album hii ina nyimbo kwa majina God is my provider feat. Bonta, Tunawaficha feat Nuruely & Q the Don, Nteme feat. Juma Nature, Let you know Feat.R.I.C, Baada ya miaka tano, one down two to go, hatuuwezi urafiki feat. Farida, Kwa watu wangu feat Q the Don, Twendeni sawa feat Saigon, Tegemezi & R.I.C pamoja na Style tatu iliyobeba jina la album. Nyimbo izi zimeandaliwa ala pamoja na kuingizwa sauti chini ya usimamizi wa Lamar - Fish Crab studio, P.Funk - Bongo Records, na Q the Don - Mo Records & Jaz Record.
Labels:
Style 3
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2ko Juu
ReplyDelete