Monday, August 8, 2011

The video making of NAKUPENDA







Msanii  Gee Scent kutoka Nigeria akifanya video ya nyimbo yake NAKUPENDA aliyomshirikisha Stopa kutoka kundi la Waturutumbi, Juma Nature kutoka kundi la Wachuja Nafaka pamoja Na P.Funk Majani. Ngoma hii itakuwa released soon ambapo mtayarishaji ni  P.Funk Majani Kutoka Bongo Recs.

No comments:

Post a Comment